.Naibu waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora,
Dk. Mary Mwanjelwa (wa tatu kulia) akipokea msaada wa mifuko 600 ya saruji
kutoka kwa Meneja wa Benki yua NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo (wa pili
kushoto), pamoja na baadhi yua wafanyakazi wenzake iliyotolewa na NBC kwa ajili
ua ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu katika Jiji la Mbeya. Hafla ya
makabidhiano ilifanyika jijini Mbeya jana.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais MenejimentI ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa (katikati),
akizungumza wakati akipokea msaada wa mifuko 600 ya saruji kutoka kwa
Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusioni, Salema Kileo (wa pili kushoto), pamoja
na baadhi ya wafanyakazi wenzake iliyotolewa na NBC ank ya NBC kwa ajili ya ujenzi
wa miundombinu ya afya na elimu katika Jiji la Mbeya. Hafla hiyo ilifanyika
jijini humo jana.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa akizungumza wakati akipokea msaada wa
mifuko 600 ya saruji kutoka Benki ya NBC kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya
afya na elimu katika Jiji la Mbeya. Hafla hiyo ilifanyika Mbeya jana. Kulia ni
Meneja wa NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo na kushoto ni Meya wa Jiji la
Mbeya, Mchungaji David Mwashikindi.
Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji David Mwashilindi
akizugumza wakati wa hafla ya kupokea msaada wa mifuko 600 ya saruji kutoka Benki
ya NBC kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu jijini humo. Katikati
ni Naibu waziri Ofisi ya Rais
Menenjimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa na kulia
ni Meneja wa NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo.
Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusini, Salema
Kileo akizungumza kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji
kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Dk Mary Mwanjelwa (kulia kwake), iliyotolewa na benki hiyo kwa ajili ya
ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu jijini Mbeya. Mbeya,
Naibu waziri Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa (katikati), Meya wa Jiji la Mbeya,
Mchungaji David Mwashilindi (kushoto kwa naibu waziri), wakipozi kwa picha ya
kumbukumbu mara baada ya hafla hiyo jijini Mbeya jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...