Kaimu
Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna akiongea kwenye mdahalo
ulioandaliwa na shirika la ‘International Finance Corporation’ (IFC)
kuhusu Usawa wa Kijinsia Kazini. Mdahalo huo uliofanyika jana jijini Dar
es Salaam, ulikutanisha Wakurugenzi kutoka taasisi za Fedha,
Wajasiriamali na Jinsia nchini. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Benki ya
Standard Chartered – Sanjay Rughani na kushoto ni Bi. Hodan Addou kutoja
Umoja wa Mataifa.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...