Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akiwa na maafisa kutoka Makao Makuu ya Polisi pamoja na Kamanda wa Mkoa wa Kigoma ACP Martin L. Otieno Wamewasili katika Wilaya ya Kasulu mkoani humo kwaajli ya kusikiliza malalamiko ya wananchi pamoja wa wafanyabiashara wadogo wadogo wa Soko la Sophia, kutokana na kuwepo na wahalifu wanaotumia wilaya kama njia ya kuvushia silaha kutoka nchi za jirani, ila wengine hushirikiana na waharifu kutoka nchi za jirani kuja wilayani hapo na kufanya uhalifu wao kisha kukimbilia nchi za jirani kama vile Burundi na Rwanda.

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberatus Sabas, akiwa na maafisa kutoka Makao Makuu ya Polisi pamoja na Kamanda wa Mkoa wa Kigoma ACP Martin L. Otieno Wamewasili katika Wilaya ya Kasulu mkoani humo kwaajli ya kusikiliza malalamiko ya wananchi pamoja wa wafanyabiashara wadogo wadogo wa Soko la Sophia, kutokana na kuwepo na wahalifu wanaotumia wilaya kama njia ya kuvushia silaha kutoka nchi za jirani, ila wengine hushirikiana na waharifu kutoka nchi za jirani kuja wilayani hapo na kufanya uhalifu wao kisha kukimbilia nchi za jirani kama vile Burundi na Rwanda.(PICHA NA JESHI LA POLISI)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...