Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mkate wa Ekaristi
alipoungana na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki kushiriki Misa Takatifu
Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko
Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.

Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Waumini
wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Joseph baada ya Misa Takatifu
Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre
Paul Haule, Oktoba 27,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko Msaidizi Padre
Paul Haule, Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi pamoja na Mzee wa Kanisa
Dkt. Adelhelm Meru baada ya Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C”
iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar
es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...