![]()  | 
| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masahariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akizungumza katika kongamano la kujadili vikwazo vya kiuchumi iliyowekewa Zimbabwe | 
![]()  | 
| Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (Mb) akitoa hotuba ya majumuisho na kufunga kongamano maalumu la kujadili vikwazo vya kiuchumi iliyowekewa Zimbabwe | 
![]()  | 
Vingozi, Mabalozi na wananchi wakifuatilia mdahalo wa kujadili jinsi ya kuiwezesha Zimbabwe kuondolewa vikwazo vya kiuchumi. 
 | 









Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...