Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kulia) akisoma taarifa za Jeshi la Magereza kabla ya kuingia ukumbini kwa ajili ya kwenda kuziwasilisha taarifa hizo katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Bungeni jijini Dodoma, leo. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP), Phaustine Kasike. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza, Meja Jenerali Mstaafu, Raphaeli Muhuga.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akimsikiliza Afisa wa Magereza alipokua anatoa taarifa ya miradi ya maendeleo ya Jeshi hilo mbele ya Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, katika Ukumbi wa Mikutano wa Bunge, jijini Dodoma leo. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akijianda kusoma Taarifa ya Jeshi la Magereza kuhusu hali ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao mbele ya Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, katika Ukumbi wa Mikutano wa Bunge, jijini Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akimsikiliza Afisa wa Magereza (hayupo pichani), alipokua anawaongoza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, katika Ukumbi wa Mikutano wa Bunge, jijini Dodoma leo, kuwaonyesha miradi mbalimbali ya maendeleo ya Jeshi la Magereza.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akimfafanulia jambo Katibu wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Ramadhani Abdalla, Bungeni jijini Dodoma, leo. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), akifurahi jambo wakati alipokua anazungumza na Katibu wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Ramadhani Abdalla, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Mbunge, Anna Kilango.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nch
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...