Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikabidhiwa Tablets na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai wakati la ugawaji wa tablets kwa Wabunge wote, katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Salma Kikwete, Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wabunge, wakati akiingia Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...