Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kikao cha viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi
za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta alipokutana nao
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiagana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali
zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika
na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...