Wajasilamali waliokuwa wamekumbwa na adhaa ya kuvunjika kwa kwa daraja la Itumba-Isongole wakihaha kusafirisha bidhaa zao baada ya daraja kupata hitilafu na kufungwa.
|
Mafundi wakichapa kazi ya kukamilisha daraja ili kurejesha mawasiliano kati ya Itumba na Isongole Wilayani Ileje |
Daraja la Itumba-Isongole Wilayani Ileje mkoani Songwe likiwa tayari na linapitisha vyombo vya usafiri na waenda kwa mguu baada ya kufungwa kwa siku mbili. |

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...