Kamishna wa Operesheni na Mafunzo
ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akizungumza na wananchi pamoja na
wakazi wa Newala mkoani Mtwara katika ziara yake ya siku moja
aliyoifanya maeneo hayo, lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuwashukuru
wananchi kuwa ushirikiano wao wanaoutoa katika Vyombo vya Ulinzi na
Usalam juu ya kukabiliana na uhalifu katika maeneo hayo.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo
ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akizungumza na wananchi pamoja na
wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara katika ziara yake ya siku moja
maeneo hayo, lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kuwashukuru wananchi kuwa
ushirikiano wao wanaoutoa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalam juu ya
kukabiliana na uhalifu katika maeneo hayo.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo
ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas akipokelewa na maafisa na
wakaguzi baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi Newala mkoani Mtwara
katika ziara yake ya siku moja ilikuwa na lengo la kuzungumza na Askari
wa kituo hicho.
Picha na Jeshi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...