Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe.Benjamin William Mkapa, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililobeba mwili wa mfanyabiashara maarufu ndani na nje ya nchi,Marehemu Ali Mufuruki leo katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka Michuzi Tv)
Mkurugenzi
wa Taasisi Binafsi Nchini Tanzania (TPSF) Godfrey Simbeye akitoa salamu
za rambirambi wakati wa kuagwa mwili wa mfanyabiashara maarufu Ali
Mufuruki leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka Michuzi
Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...