Juu na chini; baadhi ya wahitimu wakifuatilia matukio ya mahafali yao yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi (ARU).
|
Furaha ya mafanikio; Baadhi ya wahitimu wakijipiga picha y 'selfie' wakati wa kufungwa kwa mahafali yao yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi (ARU). |
Mkuu wa Chuo kikuu Ardhi (ARU) Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (kushoto) akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Evaristo Liwa.
|
Mkuu wa Chuo kikuu Ardhi (ARU) Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wanataaluma baada ya kuhitimisha mahafali hayo.
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...