Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwana samaki aina ya Sangara waliowavua Ziwa Victoria walipofanya  ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa amefanikiwa kuvua samaki aina ya Sangara Ziwa Victoria wakati wa ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikiwa na Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA Dkt. Allan Kijazi baada ya kuhitimisha  ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...