KUHAMA
KWA OFISI
Tunapenda kuwataarifu Wananchi na Wadau wote
kuwa Ofisi ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) imehama kutoka Jengo la Ubungo
Plaza, lililopo Barabara ya Morogoro.
Ofisi mpya ya Tume ya Utumishi wa Umma
(PSC) iko katika Jengo la Luthuli 1, Ghorofa ya 3 na 4 lililokuwa
linatumiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, lililoko Barabara ya Luthuli, Dar es
Salaam.
KWA MAWASILIANO ZAIDI:-
Katibu,
Ofisi ya Rais,
Tume ya Utumishi wa Umma,
6 Mtaa wa Albert Luthuli, Ploti Namba 10
S.L.P. 9143,
DAR ES SALAAM
Simu:- +(255) 738 166 703
Nukushi:-
Barua Pepe:- secretary@psc.go.tz
Tovuti: www.psc.go.tz
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...