Tigo
yazindua kampeni ya kufunga mwaka kwa ajili ya mawakala iitwayo Wakala
Kinara. Kampeni hiyo itakayo anza rasmi tarehe 1 disemba hadi 31
disember itahusisha mshindi wa kwanza kupokea milioni 20 akifuatiwa na
wa pili milioni 10. #TigoWakalaKinara

Kampuni ya Mawasiliano Tigo jana yakutana, yawapongeza mawakala wa Tigo pesa pamoja na kuzindua promosheni mpya ya mawakala iitwayo Wakala Kinara.

“Kama tunavyofahamu tulizindua kampeni ya ‘Kishindo Cha Kufunga Mwaka’ kwa ajili ya mteja wa Tigo pesa hivyo kampeni tunayozindua leo ni mahususi kwa ajili ya mawakala wa Tigo pesa.”Kaimu Mkuu wa kitengo cha Tigo Pesa, Angelica Pesha

Tigo yazindua kampeni ya kufunga mwaka kwa ajili ya mawakala iitwayo Wakala Kinara. Kampeni hiyo itakayo anza rasmi tarehe 1 disemba hadi 31 disember itahusisha mshindi wa kwanza kupokea milioni 20 akifuatiwa na wa pili milioni 10. #TigoWakalaKinara

Baadhi ya mawakala wa Tigo pesa wakiwa pamoja uongozi wa kampuni ya mawasiliano Tigo, baada ya kupokea tuzo za mawakala wa Tigo pesa waliofanya vizuri katika mwaka 2019.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...