Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia soda, inayozalishwa katika
kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, kabla ya kuzindua
upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikata utepe kuzindua upanuzi wa kiwanda
cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, Desemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifungua upanuzi
wa kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, Desemba 10,
2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mitambo ya kuzalisha soda, katika
kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua
rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua ghala la kuhifadhia soda, katiak
kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua
rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kuzalisha mvuke unaotumika katika uzalishaji, kwenye kiwanda cha Nyanza Bottling, kilichopo jijini Mwanza, baada ya kufungua rasmi upanuzi wa kiwanda hicho, Desemba 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...