Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Siaphoro Kishimbo akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mkoani Morogoro wakati mkutano wa kuwapatia uzoefu wanafunzi hao wa namna ya kuitumia vyema elimu wanayoipata ili kuendeleza maisha yao na kukabiliana na soko la ajira, uliofanyika Januari 10, 2020 katika Ukumbi wa Samora Chuoni hapo.
Kaimu Mkurugenzi wa Mahusiano ya Nje wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dkt. Eliaza Mkuna akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kuwapatia uzoefu wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wa namna ya kuitumia vyema
elimu wanayoipata ili kuendeleza maisha yao na kukabiliana na soko la
ajira, uliofanyika Januari 10, 2020 katika Ukumbi wa Samora Chuoni hapo, Mkoani Morogoro.
Mratibu wa Wanafunzi waliosoma Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dkt. Pascal Ndaki akizungumza na kusisitiza jambo katika mkutano wa kuwapatia uzoefu wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wa namna ya kuitumia vyema
elimu wanayoipata ili kuendeleza maisha yao na kukabiliana na soko la
ajira, uliofanyika Januari 10, 2020 katika Ukumbi wa Samora Chuoni hapo, Mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Siaphoro Kishimbo
akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Mkoani
Morogoro wakati mkutano wa kuwapatia uzoefu wanafunzi hao wa namna ya
kuitumia vyema elimu wanayoipata ili kuendeleza maisha yao na
kukabiliana na soko la ajira, uliofanyika Januari 10, 2020 katika Ukumbi
wa Samora Chuoni hapo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakiuliza maswali kutoka na mada iliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Siaphoro Kishimb, katika mkutano huo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe wakifatilia kwa makini mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Benki ya CRDB, Siaphoro Kishimb, katika mkutano huo.
Picha ya Pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...