Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya
Madola Kanda ya Afrika (CPA AFRICA) na Spika wa Bunge la Kenya, Justin Muturi akiongoza kikao Chama hicho kilichofanyika mapema leo
katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pia
kilihudhuriwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai (wa kwanza
kushoto) pamoja na Wajumbe kutoka Nigeria, Kenya, Uganda na Namibia.
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (wa kwanza kushoto)
akizungumza wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi ya Chama cha Mabunge
ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA AFRICA). Kulia ni Mwenyekiti
wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya
Afrika (CPA AFRICA) na Spika wa Bunge la Kenya, Mhe. Justin Muturi na
kushoto ni Wajumbe wa Kamati hiyo.
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akifurahia jambo
na Spika wa Bunge la Kenya Mhe. Justin Muturi (kulia) wakati wa kikao
cha Kamati ya Uongozi ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya
Afrika (CPA AFRICA) Jijini Dar es Salaam
Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto)
akisalimiana na Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CPA AFRICA) ambao pia ni Wabunge
kutoka Namibia, Nigeria na Uganda.
PICHA NA BUNGE.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...