Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula(katikati) akifungua kikao kazi hicho,kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof.Muhamad Bakari Kambi na kulia ni Dkt. Hellen Senkoro Mkurugenzi wa Benjamin Mkapa Foundation.
Mkuu wa Sekretarieti ya Maboresho na Uratibu wa Wadau wa Sekta ya Afya Dkt. Catherine Joachim akiwasilisha mada.
Dkt. Chaula na Prof. Kambi wakifuatilia uwasilishaji wa mada kwenye kikao kazi hicho
Baadhi ya Wakurugenzi wa wizara ya afya,taasisi na wadau wa afya wakiwa kwenye kikao kazi hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...