Ofisa Mwandikishaji  Daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo Tandahimba Said Msomoka akisoma hotuba ya ufunguzi  wa semina ya mafunzo ya uandikishaji .
 Mwezeshaji George Kashura akitoa mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji wasaidizi  Daftari la kudumu la wapiga kura ngazi ya kata
Ofisa Mwandikishaji  Daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo Tandahimba Said Msomoka  akimsikiliza Mwandikishaji Msaidizi ngazi ya kata (hayupo pichani). 


Ofisa Mwandikishaji Daftari la kudumu la wapiga kura Jimbo la Tandahimba Said Msomoka, amewataka  Maafisa Waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata  kuifanya kazi hiyo kwa ufanisi,bidii na moyo wa kujituma ili kufanikisha zoezi hilo kwa ufanisi.

Ameyasema hayo leo alipokuwa akifungua mafunzo ya Uandikishaji Daftari la kudumu la wapiga kura kwa Maafisa Waandikishaji wasaidizi ambayo yamefanyika  katika ukumbi wa Halmashauri  ya Tandahimba.

"Ni matumaini yangu kuwa semina ya mafunzo haya yatasaidia kuwapa elimu ya kutosha itakayomwezesha  kila mmoja kutekeleza wajibu  wake katika kata yake husika

Naye mwezeshaji wa mafunzo hayo ya Daftari la kudumu la wapiga kura, George Kashura aliwataka washiriki hao kuwa makini katika utekelezaji wa uandikishaji katika daftari la kudumu la  wapiga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...