Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo Katika Ofisi ya Ubalozi wa Oman Mikocheni Jijini Dar Es Salaam leo Januari 16,2020 kufuatia kifo cha Mfalme Qaboos bin Said wa Oman.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akisalimiana na kumfariji Balozi wa Oman Nchini Tanzania
Mhe. Ali Almahroqi alipofika kwenye Ofisi ya Ubalozi wa Oman Mikocheni
Jijini Dar Es alaam leo Januari 16,2020 kwa ajili ya kutia saini kitabu
cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Mfalme Qaboos bin Said.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Ali Almahroqi kwenye
Ofisi ya Ubalozi wa Oman Mikocheni Jijini Dar Es Salaam leo Januari
16,2020 baada ya kutia saini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo
kufuatia kifo cha Mfalme Qaboos bin Said.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...