Baadhi ya 
watuhumiwa waliopo nje kwa dhamana wanaokabiliwa na shitaka la Uhujumu 
Uchumi (walio mstari wa nyuma) katika chumba cha Mahakama ya Hakimu 
Mkazi Kisutu  cha Mahakama Mtandao, kilichopo katika Kituo cha Habari na
 Mafunzo , kwenye  mahakama hiyo, Jijini Dar es salaam wakifuatilia 
mashitaka yao. Walio mstari wa mbele ni wanasheria.
 
Baadhi ya 
wananchi waliofika katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es
 salaam kutuatilia mashauri ya ndugu zao katika chumba cha Mahakama 
Mtandao.

Baadhi ya 
Wanasheria(walio mstari mbele) wakiwa katika chumba cha Mahakama Mtandao
 maarufu kama Video  Conference wakifuatilia mashauri katika chumba cha 
Mahakama Mtandao, kilichopo kwenye Kituo cha Habari na Mafunzo, Mahakama
 ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Gereza
 la Keko Jijini Dar es salaam.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...