Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na Makamu
wa Rais wa Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group
Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya
Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi kuashiria uzinduzi wa Hotel Verde –
Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea
sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12,
2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa
Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa mara baada ya
kuzindua Hotel Verde ya Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar
Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Makamu wa
Rais wa Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group
Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya
Jamhuri ya Muungano na Mapinduzi kuashiria uzinduzi wa Hotel Verde –
Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea
sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12,
2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais wa
Jamhuri Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee
Said Salim Bakhresa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya
Muungano na Mapinduzi wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni
ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim huku wakitazama maeneo
mbalimbali ya Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar
wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari 11,2020 kuelekea
sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar itakayofanyika Januari 12,
2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijaribu vifaa vya mazoezi
alipoambatana na Viongozi wengine wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na
Mapinduzi kutazama maeneo mbalimbali ya Hotel Verde – Azam Luxury and
Spa iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo
Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Makampuni ya
Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa
Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim huku alipokuwa
akigagua moja ya chumba cha Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo
Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo Januari
11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa
Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa pamoja na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Vyakula wa Bakhresa Salim Aziz Salim
akikagua moja maeneo mbalimbali ya Hotel Verde – Azam Luxury and Spa
iliyopo Mtoni Zanzibar wakati wa sherehe za uzinduzi wa hoteli hiyo
Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza ngoma wakati wa
hafla ya uzinduzi wa Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni
Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla
ya uzinduzi wa Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar
Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti
wa Makampuni ya Bakhresa group Mzee Said Salim Bakhresa alipowasili
kabla ya kuzindua Hotel Verde – Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni
Zanzibar Januari 11,2020 kuelekea sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar itakayofanyika Januari 12, 2020 Visiwani Zanzibar.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...