RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa amesimama wakati ukupigwa Wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla ya sherehe za Kutunuku Nishani ya Mapinduzi na Nishani ya Utumishi Uliotukuka na Nishani ya Ushujaa, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akimvisha nishani ya Mapinduzi Bi Asha Abdalla Juma katika  Sherehe ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum, Meja Jenerali (Mstaafu) Khamis Rajab Semfuko, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum Kamishna wa Polisi  Msaidizi Mwanandamizi (SACP) (Mstaafu) Saada Ibrahim Makungu hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye  Sifa Maalum. Ndg. Said Salim Bakhressa, hafla hiyo imefanyika leo 8-1-2020, katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi Wenye Sifa Maalum Ndg. Haji Nassib Haji (Nyanya) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk, Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi Kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum.Ndg. Hassan Juma Khamis, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum,Ndg.Zaidi Juma Ussi, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.ikiwa ni shamrashamra za kuadhiumisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimtunuku Nishani ya Mapinduzi kwa Viongozi na Wananchi Wenye Sifa Maalum.Bi. Khadija Hassan Aboud, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akimvisha nishani ya Mapinduzi Bw,Daud Suleiman Juma katika  Sherehe ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika Sherehe ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Baadhi ya Viongozi Wakuu  waliohudhuria katika Sherehe ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein akiwa na watunukiwa katika Sherehe ya Kutunuku Nishani iliofanyika katika Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar, ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...