Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akisaini kitabu cha rambirambi ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la
Newala Vijijini, Mhe. Rashid Ajali Akbar nyumbani kwake Newala Mjini
Mkoani Mtwara.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Newala
Vijijini, Mhe. Rashid Ajali Akbar nyumbani kwake Newala Mjini Mkoani
Mtwara.
Wananchi Mbalimbali wakiwa katika
mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Newala Vijijini Mhe. Rashid Ajali Akbar
yaliyofanyika leo nyumbani kwake Newala Mjini Mkoani Mtwara.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizungumza na viongozi wa serikali, wabunge na wananchi mbalimbali
katika msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Newala Vijijini, Mhe. Rashid Ajali
Akbar nyumbani kwake Newala Mjini Mkoani Mtwara.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Gelasius Byakanwa mara baada
ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara kwa ajili ya mazishi ya
aliyekuwa Mbunge wa Newala Vijijini, Mhe. Rashid Ajali Akbar
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akipokelewa na Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa wa Mtwara
mara baada ya kuwasili nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa Newala Vijijini,
Mhe. Rashid Ajali Akbar kwa ajili ya mazishi yaliyofanyika leo nyumbani
kwake Newala Mjini.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...