Mratibu wa kifua ki kuu na Ukoma Hospitali ya wila ya Tunduru mkoani Ruvuma Dkt Mkasange Kihongole akitoa elim u juu ya ugonjwa wa kifua kiku u kwa wananchi wa kijiji cha Naikula wilayani humo kabla ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya Uelimishaji,uchunguzi na Upimaji wa ugonjwa huo ambayo itafanyika Nyumba kwa nyumba inayolenga kutokomeza kabisa kifua kikuu kabla ya mwaka 2030 katika wilaya hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...