Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe ( wa kwanza kushoto) akiweka rasmi jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la ofisi za makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika wakati wa Maadhimisho ya Miaka 40 ya Umoja huo yalifanyika leo tarehe 18/01/2020 jijini Arusha. Wanaoshuhudia tukio hilo kutoka kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza.
Home
HABARI
WAZIRI KAMWELWE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA UMOJA WA POSTA AFRIKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...