Baadhi ya Vifaa kutoka Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa vinavyotumika kuwahudumia wananchi
waliojitokeza eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la
usajili wa Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia
agizo la Rais Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA)
kuongeza siku 20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia
nafasi wananchi waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha
kufungiwa laini zao za Simu.

Baadhi Wafanyakazi kutoka
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa wakiwahudumia wananchi waliojitokeza
eneo la Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa
Vitambulisho vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais
Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku
20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi
waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini
zao za Simu.

Afisa kutoka Mamlaka ya
Vitambulisho vya Taifa akimuhudumia mwananchi aliyejitokeza eneo la
Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam kwenye zoezi la usajili wa Vitambulisho
vya Taifa linaloendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais Dkt.
Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku 20
hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi waweze
kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini zao za
Simu.

Wananchi wakipata huduma ya
Usajili wa kupata kitambulisho cha Taifa katika Mnazi Mmoja Jijini Dar
es Salaam zoezi ambalo linaendelea Nchi nzima, kufuatia agizo la Rais
Dkt. Magufuli kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kuongeza siku
20 hadi kufikia mpaka January 20 mwaka huu kuwapatia nafasi wananchi
waweze kupata namba ya Utambulisho wa Taifa na kuepusha kufungiwa laini
zao za Simu.
(PICHA NA MAELEZO)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...