Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, 
akiangalia mashine ya kukamulia miwa ya sukari, wakati 
alipotembelea kiwanda cha kuzalisha sukari cha Zanzibar kilichopo katika
 eneo la Mahonda wilaya ya Kaskazini ‘A’ mkoa wa Kaskazini Unguja. 
Januari 18, 2020.
 
 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, 
akiwa na mwenyeji wake, Mkurugenzi Mkazi wa kiwanda cha kuzalisha sukari
 cha Zanzibar, Rahim Bhaloo,akikagua shehena ya sukari, katika kiwanda 
hicho kilichopo katika eneo la Mahonda wilaya ya Kaskazini ‘A’ mkoa wa 
Kaskazini Unguja. Januari 18, 2020.

Wananchi wa kiwanda cha kuzalisha 
Sukari cha Zanzibar, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, 
akiwahutubia, baada ya kukagua Kiwanda hicho, kilichopo katika eneo la 
Mahonda wilaya ya Kaskazini ‘A’ Mkoa wa Kaskazini Unguja. Januari 18, 
2020

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, 
akiangalia ramani ya nyumba za maafa, wakati alipokagua nyumba hizo, 
zilizopo Nungwi, Mkoa wa Kaskazini Unguja. Januari 18, 2020. (Picha na 
Ofisi ya Waziri Mkuu)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...