KILI MARATHON 2020:Meneja Masoko wa Kampuni ya Tanga Fresh,Ally Sechonge akishiriki mbio za Kili Marathon ( KM 21) mjini Moshi leo.
Meneja Masoko wa Kampuni ya Tanga Fresh,Ally Sechonge (wa katika) akionesha Nishani aliyopewa mara baada ya kumaliza mbio za Kilometa 21 kwenye mbio za Kili Marathon leo mjini Moshi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...