Mwanafunzi wa kidato cha nne, shule ya sekondari Kinyerezi jijini Dar Es Salaam, Rahma Seif akielezea namna ya kujisomea kupitia mfumo wa Instant Schools unaowezesha kupata materials‘ kwa njia ya mtandao bure kutoka Vodacom. Hii ni hamasa iliyowekwa na Vodacom kuelekea siku ya wanawake Duniani kwa mtoto wa kike kupenda masomo ya sayansi yenye kauli mbiu I am the face of Tech.
Mkuu wa Idara ya IT na Miradi Vodacom Tanzania PLC, Cleopatra Mukangara akitoa zawadi kwa wanafunzi mbalimbali wa shule ya sekondari Kinyerezi iliyopo Tabata, Dar Es Salaam
Kelvin Richard akiongea na wanafunzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...