Wajasirimali katika Soko la Mahindi mabichi Simu 2000 wilaya ya Ubungo wakichagua mahidi kwaajili ya kwenda kuuza sehmu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam,ambapo Hindi moja huuzwa kati ya shiling 150 mpaka ,300,(Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Malori ya Mahindi yakishusha bidhaa hiyo sokoni katika soko la Simu 2000 wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam.
Wachuuzi wa Samaki wakisubiri wakiendelea na kazi zao kama inavyo onekana pichani(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...