Lori la Mchanga lililokuwa likielekea Mkuranga limegongana uso kwa uso na daladala linalofanya safari zake Temeke kuelekea Kisemvule katika kijiji cha Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa Pwani.
Kwa taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha ajali ni dereva wa daladala aliyekuwa akijaribu kulipita Lori hilo la mchanga ndipo akaangukia pembezoni mwa msitu wa hifadhi ya Vikindu, ambapo inadaiwa kuwa dereva wa lori aliyejulikana kwa jina moja la Kinje hali yake si nzuri na amekimbizwa hospitali.
Baadhi ya Wananchi wakishuhudia ajali katika kijiji cha Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa Pwani.
Baadhi ya Wananchi wakishuhudia ajali katika kijiji cha Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa Pwani.(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Baadhi ya Wananchi wakishuhudia ajali katika kijiji cha Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa Pwani.(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...