Kazi ya ujenzi wa barabara ya muda katika eneo la Kiyegeya wilayani
Kilosa Machi 10, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi huo
leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa
TANROADS, Mhandisi Patric Mfugale (mwenye kofia) wakati alipokagua
ujenzi wa barabara ya muda katika eneo la Kiyegeya wilayani Kilosa
Machi 10, 2020. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Mhandisi
Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa barabara ya muda katika
eneo la Kiyegeya wilayani Kilosa, Machi 10, 2020. Wa tatu kushoto ni
mkewe, Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Rota Sanare. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua kazi ya ujenzi wa ukuta wa kuzunguka makaburi ya wahanga wa
moto katika eneo la Kolahill mjini Morogoro, Machi 10, 2020. Kulia ni
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...