Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akifunga Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha Sahani ya Asili aliyokabidhiwa na Mwakilishi wa Chuo Kikuu cha Netherlands Dr. Robeit Hack wakati wa ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania lililofanyika katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Moudlin Castico kabla ya ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020. katikati Naibu Waziri wa Elimu Na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu uandaaji wa vifaa vya aina mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya mambo ya umeme kutoka kwa Muzna Abdalla wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume mjini Zanzibar alipotembelea maonesho kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu utafiti wa mbalimbali kutoka kwa Ernest Mjema wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume mjini Zanzibar alipotembelea maonesho kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020. kulia ni Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Simai Mohammed Said.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu uandaaji wa vifaa vya aina mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya mambo ya umeme kutoka kwa Muzna Abdalla wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Karume mjini Zanzibar alipotembelea maonesho kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu mambo ya Mafuta ya Petroli kutoka kwa Afisa wa kampuni ya Mafuta Zanzibar Petrolium Development Campany LTD Amani Shein alipotembelea maonesho kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti Nyausi Mmakame kwa ushiriki wake katika Jukwaa la Nishati kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania lililofanyika katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Cheti Bibi Linda Maat kutoka Netherlands  kwa ushiriki wake katika Jukwaa la Nishati kwenye ufungaji wa Jukwaa la Nishati Tanzania lililofanyika katika Ukumbi wa Varde Zanzibar leo March 11,2020.

Picha ya Pamoja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...