Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana kwa Ishara na Baadhi ya wajumbe wa Kongamano la Wanawake katika kutekeleza ushauri wa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kuhusu tahadhari dhidi ya Virusi vya Ugonjwa wa Corona, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo March 04,2020 kwa ajili ya kufungua Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana kwa Ishara Maalum na Mama Getrude Mongela katika kutekeleza ushauri wa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kuhusu tahadhari dhidi ya Virusi vya Ugonjwa wa Corona, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo March 04,2020 kwa ajili ya kufungua Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo March 04,2020. . ambapo kauli mbiu Uwajibikaji wa Uongozi katika kujenga Kizazi cha Usawa wa Jinsia.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa WFT - T Mary Rusimbi akimkabidhi Tuzo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa kukumbukwa na kutambua mchango wake kwa kusaidia na kuwezesha Wanawake na Watoto pia kwa kuwa kuwa ni Mwanamke wa kwanza Nchini kuweza kushika nafasi ya Juu ya Uongozi wa Makamu wa Rais, Baada ya kufungua rasmimi Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionyesha Tuzo aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa WFT - T Mary Rusimbi kwa kukumbukwa na kutambua mchango wake kwa kusaidia na kuwezesha Wanawake na Watoto pia kwa kuwa kuwa ni Mwanamke wa kwanza Nchini kuweza kushika nafasi ya Juu ya Uongozi wa Makamu wa Rais, baada ya kufungua rasmi Kongamano la kuadhimisha na kusherehekea siku ya Wanawake Duniani na Miaka 25 Baada ya mkutano wa beijing katika Ukumbi wa Mikutano wa Hyatt Regency Jijini Dar es salaam leo March 04,2020. ambapo kauli mbiu Uwajibikaji wa Uongozi katika kujenga Kizazi cha Usawa wa Jinsia. ambapo kauli mbiu Uwajibikaji wa Uongozi katika kujenga Kizazi cha Usawa wa Jinsia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...