Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi akiwambulisha vingozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV, viongozi wa Jumuiya za dini na taasisi zisizokua za kiserikali zinazomilikiwa na waTanzania DMV kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi na baadae kumkaribisha  kuongea nao. Picha na Vijimambo Blog
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi akiongea na vingozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV, viongozi wa Jumuiya za dini na taasisi zisizokua za kiserikali zinazomilikiwa na waTanzania DMV siku ya Ijumaa March 6, 2020 katika ukumbi wa Nyerere uliopo Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington, DC.Mhe. Kabudi alianza kwa kuelezea hali ya nchi na jinsi gani nchi ya Tanzania ilivyopiga hatua ya kasi ya maendeleo katika kipindi hiki cha awamu ya 5 chini ya Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli na baadae kuruhusu maswali.
vingozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV, viongozi wa Jumuiya za dini na taasisi zisizokua za kiserikali zinazomilikiwa na waTanzania DMV wakiwemo maafisa Ubalozi wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi siku ya Ijumaa March 6, 2020 katika ukumbi wa Nyerere   uliopo Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington, DC
 vingozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV, viongozi wa Jumuiya za dini na taasisi zisizokua za kiserikali zinazomilikiwa na waTanzania DMV wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi 
  vingozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV, viongozi wa Jumuiya za dini na taasisi zisizokua za kiserikali zinazomilikiwa na waTanzania DMV wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi 
Shamis Abdula mwakilishi wa ZADIA (Zanzibar Diaspora Association) akiuliza swali la uraia pacha na kuomba serikali kufikiria upya kuhusiana na wazee asili ya Tanzania wenye uraia wa nchini nyingine wanaporudi nyumbani baada ya kustaafu wawekewe wepesi wa kupatikana kwa vibali vya kuishi nchini Tanzania au ikiwezekana viondolewe kabisa. 
 Kulia ni Mwenyekiti wa Jumuiya dini ya kiislam DMV ustadhi Mohamed Yahya (mabezi) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi  
 Mwenyekiti wa Jumuiya dini ya kiislam DMV ustadhi Mohamed Yahya (mabezi) pamoja nae Shamis Abdula (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi (kushoto) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi 
 Vingozi wa Jumuiya za DMV wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi 
 Salma Moshi akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi  
 Asha Nyang'anyi (mwenyeki wa bodi DICOTA) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi  
 Maafisa na waambata wa Jeshi wa Ubalozi  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Wilson Masilingi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...