RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali
Mohamed Shein, akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
Profesa Florens Luoga alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo na Rais akiongozana na Ujumbe wake (kulia) yaliofanyika
katika wa ukumbi wa Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali
Mohamed Shein akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
Profesa Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake
kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali
Mohamed Shein akiwa na mgeni wake Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT)
Profesa.Florens Luoga wakibadilisha mawazo baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiagana na mgeni wake Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BOT) Profesa Florens Luoga baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...