RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wasanii mbalimbali wa Unguja na Pemba katika mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo 12-3-2020.(Picha na Ikulu)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na wasanii mbalimbali wa Zanzibar katika mkutano uliofanyika leo ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (kushoto) Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume,na Msauri wa Rais mambo ya Utamaduni na Michezo Bw.Chimbeni Kheir Chimbeni(katikati)
Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizunmza na wasanii hao katika mkutano maalum uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
 BAADHI ya Wasanii Wakongwe Zanzibar wakifuatilia hafla ya mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akizungumza na Wasanii na Wabunifu wa Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuniu Jijini Zanzibar.kutoka kulia Bi. Maryam Hamdani, Bi. Mwanahawa Ali, Bi.Mwanajuma Ali,Bi. Fatma Issa, Bi. Mwema Khamis (Bi.Njiwa) Bw.Amir Ali Mohammed (Mtunzi wa Vitabu) Bw. Sabri Farid Ali (Msanii wa michezo ya kuigiza) na Bi.Mwanaali Juma (Maarufu Bi. Kizito)
 WASANII wa Shirikisho la Wasanii kutoka Pemba wakionesha ingizo la Ndoto Yangu, wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.,Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliowasirikisha Wasanii mbalimbali wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriusa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia Msanii Mkongwe Zanzibar wa michezo ya kuigiza Bi.Mwema Khamis ( maarufu Bi, Njiwa ) baada ya hafla ya kumalizika kwa mkutano wake na Wasanii na Wabunifu Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,(kulia kwa Rais) Mshauri wa Rais Masuala ya Utamaduni na Sanaa.Mhe. Chembeni Kheri .(Picha na Ikulu) 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar leo katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wasaniii wa kikundi cha sanaa waliomkaribisha leo kwa ngoma ya kibati mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar, (katikati) Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na salimiana na Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kulia) na Naibu Waziri wa Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nd,Lulu Msham Abdalla mara alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar leo katika mkutano na Wasanii wa Zanzibar
  Wasanii wa Shirikisho kutoka Kisiwani Pemba wakionesha Igizo la "Ndoto Yangu" katika mkutano na Wasanii wa Zanziba uliotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar leo
 Wasanii wakongwe wakisimama wakati wa kutambulishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa Mkutano na Wasanii wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
 Baadhi ya Wasanii na Viongozi mbali mbali walioalikwa katika mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...