Mkurugenzi wa Uendelezaji Sera Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Agnes Meena akifungua kikao kazi cha wadau cha kupitia Rasimu ya Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro katika ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango ya Rasilimaliwatu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Edith Rwiza akitoa maelezo ya awali kwa wadau juu ya umuhimu na faida za kupitia Rasimu ya Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma katika ukumbi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Dodoma.
Baadhi ya wadau walioshiriki kikao kazi cha kupitia rasimu ya Mwongozo wa kuandaa mpango wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma wakimsilikiza Mkurugenzi Msaidizi wa Mipango ya Rasilimaliwatu, Dkt, Edith Rwiza (hayupo pichani).
Mkurugenzi wa Sera Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Agnes Meena ( wa tatu kushoto mstari wa mbele akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa kikao kazi cha kupitia Rasimu ya Mwongozo wa kuandaa Mpango wa Rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...