Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Skooine cha Kilimo SUA Prof. Raphael Chibunda akiwa ameshikilia moja ya
vitabu hivyo baada ya kukabidhiwa, Kulia kwake ni Naibu makamu mkuu wa
Chuo upande wa Taaluma Prof. Peter Gillar, kuanzia kshoto ni Mkurugenzi
wa Maktaba ya taifa ya Kilimo Prof. Mugyabuso Lwehabura, Bwana Derek
Murusuri ambaye ndiye mwandishi wa kitabu na Dkt. Cliford Tandali
aliyetoa msaada huo wa vitabu
Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Sokoine cha Kilimo SUA Prof. Raphael Chibunda akifurahi jambo na Dkt.
Cliford Tandali wakati akisoma kitabu hicho kabla ya kupokea vitabu
hivyo.
Viongozi hao wakizungumza kabla ya kuanza rasmi zoezi la kukabidhi na kupokea vitabu.
Ukurusa wa Mbele wa kitabu hicho unavyoonekana na kusomeka.
Dkt. Cliford Tandali wa pili
kushoto akieleza lengo la kutoa msaada huo vitabu kwa SUA , kulia kwake
ni Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA Prof. Raphael
Chibunda
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...