Waziri wa Maji Prof Makame Mbarawa akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Christine Kessy kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji wa vijiji vitano unaofadhiliwa na DFID katika Halmashauri ya Arumeru.
Waziri wa Maj Mhe Prof Makame Mbarawa kushoto kwake akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe Mrisho Gambo wakielekea kukagua tanki la maji lenye kuweza kubeba Lita Milioni 10.
Waziri wa Maji, Prof Makame Mbarawa akikagua tanki la mradi mkubwa wa maji katika Jiji la Arusha unaosimamiwa na mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA) lenye uwezo wa kubeba maji Lita Milioni 10. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe Mrisho Gambo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...