Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua ghala la skimu ya umwagiliaji ya
Mombo, Machi 5, 2020. Wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari
Mgumba na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry
Shekifu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mchele daraja la kwanza wakati
alipotembelea mashine ya kukoboa nafaka ya Skimu ya Umwagiliaji ya
Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kiloba cha mchele uliokobolewa na
kufungashwa tayari kwa kuuzwa wakati alipozindua ghala la skimu ya
umwagiliaji ya Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama trekta la kuvuna mpunga wakati
alipozindua ghala la skimu ya umwagiliaji ya Mombo wilayani Korogwe,
Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...