Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa Maji wa Bokwa wilayani
Kilindi, Machi 4, 2020. Kulia ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na
kushoto ni Mbunge wa Kilindi, Omar Kigua. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijaza maji katika ndoo wakati alipozindua
mradi wa Maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. Wa pili kulia
ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Martine Shigela na kulia ni mmoja wa wanufaika wa mradi huo,
Mariam Mgaza Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsaidia kubeba ndoo ya maji, Mariam Mgaza Hassan wakati alipozindua mradi wa maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...