Mratibu wa Kitaifa wa utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 Bw. Boniface
Kadili (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Sanaa,
Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) Wakati wa
kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa mkataba huo mapema hii leo 6Machi
katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe
akisoma taarifa ya utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005 mara baada ya
kuipokea mapema hii leo 6 Machi katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar
es Salaam.
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe
akimsikiliza Mratibu wa Kitaifa wa utekelezaji wa mkataba wa UNESCO 2005
Bw. Boniface Kadili Wakati akisoma taarifa ya utekelezaji wa mkataba
wa huo mara baada ya kuipokea mapema hii leo 6 Machi katika ofisi ndogo
za wizara jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Timu ya Taifa ya Uaandaaji wa Mkataba wa UNESCO 2005 akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) Wakati wa kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa mkataba huo mapema hii leo 6 Machi katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam. Picha na WHUSM – Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...