Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) akiteta na Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo, Dkt.Zainab Chaula katika Kikao Kazi cha Mawaziri na
Makatibu Wakuu cha kujadili ugonjwa wa Corona (COVID-19) kilichoongozwa
na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,
Machi 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...