Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ameupongeza uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kutengeneza mavazi maalum (coverall) za wauguzi ambayo yanasaidia wahudumu wa afya kujikinga na ugonjwa wa Corona.
“Nawapongeza hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kutengeneza mavazi maalum (coverall) ya wauguzi Mungu awabariki na kuwalinda wauguzi wetu”.
Aidha, amevipongeza viwanda vyote nchini kwa kuendelea kuhakikisha vinatoa mchango mkubwa kwa kipindi hiki cha kupambana na ugojwa wa Corona na ametoa wito kwa viwanda na mtanzania yeyote anaeweza kutengeneza mavazi maalum ya wauguzi ajitokeze na awasiliane na Wizara ya Viwanda na Biashara.
“Viwanda vyetu nchini hamjawahi kuniangusha, yeyote anayeweza kutengeneza awasiliane na Wizara ya Viwanda na Biashara namba ya simu +255784218155" ili kupata muongozo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...