Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia
Ackson (katikati) akifungua mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu
matokeo ya Mkataba wa eneo huru la biashara la Bara la Afrika katika
ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya
Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Mhe. Salum Mwinyi Rehani na
kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Bajeti Ofisi ya Bunge, Bi. Mary
Lwasai.
Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia
mada wakati wa mafunzo kuhusu matokeo ya Mkataba wa eneo huru la
biashara la Bara la Afrika katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mtangamano wa Biashara, Wizara
ya Viwanda na Biashara, Bi. Sekela Mwaisela akitoa mada wakati mafunzo
kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu matokeo ya Mkataba wa eneo huru la
biashara la Bara la Afrika katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama, Mhe. Salum Mwinyi Rehani akizungumza
wakati wa mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu matokeo ya Mkataba wa
eneo huru la biashara la Bara la Afrika katika ukumbi wa Pius Msweka
Jijini Dodoma. Katikati ni Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na
kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Bajeti Ofisi ya Bunge, Bi. Mary
Lwasai.
PICHA NA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...