Kutokana na Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani wauzaji wa Madafu wa kariakoo wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, wamepunguza bei kutoka shilingi 1000,hadi 500. kama unavyoonekana pichani.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) 
Mjasiriamali wa Madafu wa Kariakoo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam akisubiri wateja wanaotoka sehemu mbalimbali,ambapo Dafu moja kwa sasa  linauzwa shilingi 500.

Hali halisi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...