Mwanamuziki anayekuja juu kwa kasi Zuhra Kopa maarufu kama ZUCHU akitumbuiza kwa mara ya kwanza mbele ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa sherehe za uzinduzi wa mradi mkubwa wa Maji wa
Kibamba-Kisarawe mjini Kisarawe mkoa wa Pwani Jumapili Juni 28, 2020. Zuchu anayetamba na kibao chake cha hamasa cha CCM ya MAGUFULI ni binti wa Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Omar Kopa
Kibamba-Kisarawe mjini Kisarawe mkoa wa Pwani Jumapili Juni 28, 2020. Zuchu anayetamba na kibao chake cha hamasa cha CCM ya MAGUFULI ni binti wa Malkia wa Mipasho Bi. Khadija Omar Kopa

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...